↓ Skip to Main Content

Secondary Navigation

Main Navigation

  • Home
  • This Site
    • Using This Site
    • Initial Benefactor
    • The Production Team
  • History
  • Articles
  • Leaflets
  • Books
  • Online Sources
  • Baptist Identity Materials

Tag: articles-Kiswahili

Wabaptist

By Brad Hepp Posted on October 11, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo. Katika yeye mwili wote ukiungamanishwa na kushikanishwa kwa msaada wa kila kiungo, kwa kadri ya utendaji wa kila sehemu moja moja, huukuza mwili upate …

Wabaptist Read more »

Wabaptist na Elimu

By Brad Hepp Posted on October 11, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“ Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.” Zaburi 1:7 Wabaptist huamini upatikanaji wa elimu ya Kikristo kwa watu wote na zipo njia mbalimbali za kuifikishia hii elimu. Husaidia upataikanaji wa elimu ya Kikristo kwa …

Wabaptist na Elimu Read more »

Wabaptist: Utengano wa Kanisa na Utawala wa Nchi

By Brad Hepp Posted on October 11, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“…Mlipeni kaisari yaliyo ya kaisari; na Mungu yaliyo ya Mungu.” Mathayo 22:21 Akizungumza kutoka kwenye Mji Mkuu wa Marekani mwaka 1920 mbele ya watu 15,000 kwenye eneo la wazi, Mchungaji wa Texas Baptist  George W. Truett alisema: “‘Mlipeni Kaisari yaliyo …

Wabaptist: Utengano wa Kanisa na Utawala wa Nchi Read more »

Wabaptist: Mashujaa wa Uhuru wa Kidini

By Brad Hepp Posted on October 11, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“… mliitwa mate uhuru: lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.” Wagalatia  5:13 Mchungaji mashuhuri wa Baptist  George W. Truett (1867-1944) kwenye mahubiri yake yenye kisa cha Wabaptist na uhuru wa dini alimnukuu Mwana historia …

Wabaptist: Mashujaa wa Uhuru wa Kidini Read more »

Wabaptist : Kuishi Ipasavyo Injili

By Brad Hepp Posted on October 11, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“… Na Bwana anataka nini kwako, ili kutenda haki, na kupenda rehema, Na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!” Mika 6:8 Wabaptist wanasadiki kuwa Wakristo wanao wajibu wa kufanya yote mawili kwa kueneza injili na kuiishi injili kwenye maisha yao …

Wabaptist : Kuishi Ipasavyo Injili Read more »

Wabaptist na Huduma ya Kuhudumia Wahitaji

By Brad Hepp Posted on September 17, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“…Kadri mlivyomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.” Mathayo 25:40 Njia moja wapo ambayo Wabaptist wanaendelea kuishi sawa na ima ni yao ni kutoa huduma za mahitaji kwa wahitaji. Kwa njia zote mbili kwa ulimwengu kote, Wabaptist …

Wabaptist na Huduma ya Kuhudumia Wahitaji Read more »

Wabaptist na Umisheni

By Brad Hepp Posted on September 17, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“Basi enendeni, mkawafundishe mataifa yote, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu: kuwafundisha kuyashika yote niliyo waamuru.” Mathayo 28:19-20 Wabaptist walioko ulimwenguni kote wamejitoa kwa ajili ya umisheni na uinjilisti. Hizi huduma ziko sawa lakini kuna utofauti. …

Wabaptist na Umisheni Read more »

Wabaptist na Uinjilisti

By Brad Hepp Posted on September 17, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“Basi imani chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.” Warumi 10:17 Wabaptisti wamejitoa kwa ajili ya Uinjilisti, kushuhudia habari njema za Yesu Kristo ili na wengine waweze kumpokea na kumwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi. Kujitoa …

Wabaptist na Uinjilisti Read more »

Wabaptist: Kuabudu

By Brad Hepp Posted on September 17, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“Njooni, tuabudu….” Zaburi 95:6 “Wabaptist ni ‘Watu wa Kanisa huru’ Hupata furaha kwenye aina mbalimbali ya mitindo ya jinsi ya kuabudu na kuenenda kwenye Makanisa yao….” William R. Estep, Kwa nini Mbaptist? Masomo ya Imani ya Baptist na Urithi Neno …

Wabaptist: Kuabudu Read more »

Watumishi wawili wa Kanisa: Wachungaji na Mashemasi

By Brad Hepp Posted on September 17, 2021 Posted in Tagged with articles-Kiswahili

“Paulo na Timotheo, watumwa wa Kristo, kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu Walioko filipo, pamoja na Maaskofu na Mashemasi.” Wafilipi 1:1 “Watumishi wa Kanisa la Agano Jipya ni Wachungaji na Mashemasi(Wafilipi. 1:1). Watumishi hao hao mara nyingine huitwa Askofu, mzee …

Watumishi wawili wa Kanisa: Wachungaji na Mashemasi Read more »

Posts pagination

1 2 3 Next

Masomo Yaliyomo

  1. Wabaptisti: Nani? Nini? Kwa nini? Wapi? Lini?
  2. Baptists: Ni nini kinachofanya Baptist kuwa Baptist?
  3. Yesu ni Bwana
  4. Mamlaka ya Biblia
  5. Je Uweza wa Roho ni Utofauti wa Baptist?
  6. Wokovu ni kwa Neema kwa Njia
  7. Wabaptisti: Ukuhani wa Muumini au Waumini?
  8. Wabaptisti: Ubatizo wa Waumini
  9. Wabaptisti huamini katika Ushirika Upya
  10. Wabaptisti:Kuwa na Ushirika wa Kanisa kwa kuzaliwa Upya ni Hatari?
  11. Utawala wa Kanisa
  12. Uongozi wa Kanisa la Baptist
  13. Wabaptisti huamini Kanisa Kujitegemea
  14. Uhuru Wabaptisti: Changamoto na Faida
  15. Wabaptisti na Ushirikiano wa Hiari
  16. Uhiari wa Ushirikiano kwa Wabaptisti: Changamoto na Faida
  17. Wabaptisti’ Maagizo Makuu Mawili: Ubatizo na Meza ya Bwana
  18. Watumishi wawili wa Kanisa: Wachungaji na Mashemasi
  19. Wabaptist: Kuabudu
  20. Wabaptist na Uinjilisti
  21. Wabaptist na Umisheni
  22. Wabaptist na Huduma ya Kuhudumia Wahitaji
  23. Wabaptist : Kuishi Ipasavyo Injili
  24. Wabaptist: Mashujaa wa Uhuru wa Kidini
  25. Wabaptist: Utengano wa Kanisa na Utawala wa Nchi
  26. Wabaptist na Elimu
  27. Wabaptist

Preview Some of the Leaflets in the Baptist Identity Series

Click on any of the thumbnails below to view a sample leaflet:

  • 3-JesusIsLord1.jpg
  • 3-JesusIsLord2.jpg
  • 3-JesusIsLord3.jpg

  • 6-SalvationByGrace1.jpg
  • 6-SalvationByGrace2.jpg
  • 6-SalvationByGrace3.jpg

  • 8-BelieversBaptism1.jpg
  • 8-BelieversBaptism2.jpg
  • 8-BelieversBaptism3.jpg

  • 12-BaptistChurchLife1.jpg
  • 12-BaptistChurchLife2.jpg
  • 12-BaptistChurchLife3.jpg

Fermentum

Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry. Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s, when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting, remaining essentially unchanged.

Elementum

Interdum

BaptistDistinctivesLogo80x87

The information on this website is intended to provide resources for further study on Baptists — doctrine, polity, heritage, ministries, organization. However, it is not intended as an official statement of belief or endorsement in any way of the listed resources.

Copyright © 2010 – 2025 by Wm M. Pinson, Jr. All rights reserved.  |  Privacy Policy

Copyright © 2025 Beliefs, polity, ministries, practices, organizations, and heritage of Baptists | Powered by Responsive Theme
Top